








OUR PARTICIPATION IN THE KILIMANJARO REGIONAL NGO GENERAL MEETING
Our institution had the privilege of participating in the Kilimanjaro Regional General Meeting for Non-Governmental Organizations (NGOs), which was held to review and discuss development progress made within the region. The meeting was chaired by the Regional Commissioner of Kilimanjaro and brought together various development stakeholders, including NGO representatives, government officials, and private sector partners.
The discussions focused on the achievements and challenges facing the region, and stakeholders shared ideas on how to work collaboratively towards sustainable development in Kilimanjaro.
As an active development partner through the IYI initiative, our institution took this opportunity to present the progress of our major vocational training project. We shared information about the location of the center, the courses offered, and its role in empowering youth in Kilimanjaro and across Tanzania.
We are deeply grateful to the Regional Commissioner’s Office and the organizers for the opportunity to participate in this important forum. We also extend our sincere appreciation to the funders and partners who continue to support the development of our training center.


USHIRIKI WA CHUO CHETU KATIKA MKUTANO MKUU WA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI (NGOs) MKOA WA KILIMANJARO
Chuo chetu kilipata fursa ya kushiriki katika Mkutano Mkuu wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGOs) wa Mkoa wa Kilimanjaro, uliofanyika kwa lengo la kujadili maendeleo yaliyofanyika katika mkoa wetu hadi sasa. Mkutano huo uliongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro na ulihusisha wadau mbalimbali wa maendeleo, wakiwemo wawakilishi wa NGOs, taasisi binafsi, na viongozi wa serikali.
Kupitia mkutano huu, tulijadili mafanikio yaliyopatikana na changamoto zilizopo, huku tukibadilishana mawazo kuhusu namna bora ya kushirikiana kwa ajili ya maendeleo endelevu ya Mkoa wa Kilimanjaro.
Kwa upande wa chuo chetu, kama sehemu ya wadau wa maendeleo kupitia taasisi ya IYI, tulitumia fursa hii kuwasilisha taarifa kuhusu mradi wetu mkubwa wa chuo cha ufundi, ambao kwa sasa unaendelea kutekelezwa. Tulielezea mahali chuo kilipo, aina ya kozi tunazotoa, pamoja na mchango wake katika kuwawezesha vijana wa Mkoa wa Kilimanjaro na Tanzania kwa ujumla.
Tunaishukuru sana Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro na waandaaji wa mkutano huu kwa kutupa nafasi ya kushiriki na kutoa mchango wetu. Pia, tunatoa pongezi na shukrani za dhati kwa wote wanaofadhili chuo chetu na kuhakikisha ndoto hii ya kuwajengea vijana uwezo wa kujitegemea inatimia.
UNSERE TEILNAHME AN DER GENERALVERSAMMLUNG DER NICHTREGIERUNGSORGANISATIONEN (NGOs) IN DER REGION KILIMANJARO
Unsere Einrichtung hatte die Ehre, an der Generalversammlung der Nichtregierungsorganisationen (NGOs) in der Region Kilimanjaro teilzunehmen. Ziel des Treffens war es, die bisherigen Entwicklungsfortschritte in der Region zu bewerten und gemeinsam mit verschiedenen Akteuren über zukünftige Maßnahmen zu beraten. Der Regionalbeauftragte von Kilimanjaro leitete die Versammlung, an der Vertreter aus NGOs, staatlichen Institutionen und der Privatwirtschaft teilnahmen.
Im Mittelpunkt der Diskussion standen die bisherigen Erfolge, bestehende Herausforderungen sowie Möglichkeiten der Zusammenarbeit für eine nachhaltige Entwicklung der Region.
Als aktiver Entwicklungspartner im Rahmen der IYI-Initiative nutzten wir die Gelegenheit, unseren laufenden Großprojekt im Bereich der beruflichen Bildung vorzustellen. Wir präsentierten den Standort unseres Zentrums, die angebotenen Kurse sowie unseren Beitrag zur Stärkung von Jugendlichen in der Region Kilimanjaro und ganz Tansania.
Wir danken dem Büro des Regionalbeauftragten von Kilimanjaro sowie den Organisatoren herzlich für die Möglichkeit, an diesem wichtigen Forum teilzunehmen. Unser besonderer Dank gilt auch allen Förderern und Partnern, die den Aufbau unseres Ausbildungszentrums ermöglichen und tatkräftig unterstützen.