










VISIT TO TEMESA STAND – SABASABA INTERNATIONAL TRADE FAIR
On July 7, students and instructors from the Marion Meyenburg Vocational Training Centre (MMVTC) visited the stand of the Tanzania Electrical, Mechanical and Electronics Services Agency (TEMESA) at the Sabasaba International Trade Fair in Dar es Salaam.
The primary goal of this educational visit was to enhance the students’ understanding of automotive mechanics, one of the key courses offered at MMVTC. During the visit, students had the opportunity to observe modern equipment, interact with professionals in the field, and gain practical insight into current trends in vehicle maintenance and electrical systems.
This visit is part of MMVTC’s commitment to offering hands-on, industry-relevant training that equips students with the knowledge and confidence to succeed in today’s job market.
We extend our sincere appreciation to TEMESA for their hospitality and for creating such an engaging and educational experience for our students. We value this growing collaboration between technical institutions and national industry stakeholders.
Â
ZIARA YA MAFUNZO KATIKA BANDA LA TEMESA – MAONYESHO YA SABASABA
Tarehe 7 Julai, wanafunzi na walimu kutoka Chuo cha Marion Meyenburg Vocational Training Centre (MMVTC) walifanya ziara ya mafunzo katika banda la Wakala wa Ufundi na Umeme wa Magari (TEMESA) lililoko kwenye Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara (Sabasaba), jijini Dar es Salaam.
Lengo kuu la ziara hii lilikuwa ni kujifunza kwa kina kuhusu teknolojia na huduma mbalimbali zinazotolewa na TEMESA, sambamba na kuboresha uelewa wa wanafunzi wetu kuhusu kozi ya Ufundi wa Magari inayotolewa chuoni. Kupitia maonyesho hayo, wanafunzi walipata fursa ya kuuliza maswali, kuona vifaa vya kisasa, na kuelewa kwa vitendo mbinu na mwelekeo wa tasnia ya ufundi na umeme wa magari nchini.
Ziara hii ni sehemu ya juhudi za MMVTC kuhakikisha kwamba mafunzo yanayotolewa chuoni yanakwenda sambamba na mahitaji ya soko la ajira na maendeleo ya kiteknolojia.
Tunawashukuru TEMESA kwa ukarimu wao na kwa kutoa nafasi kwa vijana wetu kujifunza, na tunathamini ushirikiano unaojengwa kati ya sekta ya umma na taasisi za mafunzo ya ufundi kama yetu.
Â
Â
Â
Â
BESUCH DES TEMESA-STANDS – SABASABA INTERNATIONALE HANDELSMESSE
Am 7. Juli besuchten die Studierenden und Ausbilder des Marion Meyenburg Vocational Training Centre (MMVTC) den Stand der Tansanischen Agentur für Elektrik, Mechanik und Fahrzeugdienstleistungen (TEMESA) auf der Sabasaba Internationalen Handelsmesse in Daressalam.
Ziel dieses Bildungsbesuchs war es, das Verständnis unserer Studierenden für Kraftfahrzeugtechnik, einen der Hauptstudiengänge an unserem Zentrum, zu vertiefen. Die Teilnehmenden erhielten die Gelegenheit, moderne Geräte zu sehen, mit Fachleuten ins Gespräch zu kommen und praktische Einblicke in aktuelle Entwicklungen der Fahrzeugwartung und elektrischen Systeme zu gewinnen.
Diese Aktivität ist Teil des Engagements von MMVTC, praxisorientierte und arbeitsmarktrelevante Ausbildungen anzubieten, die junge Menschen auf den Berufseinstieg optimal vorbereiten.
Wir danken TEMESA herzlich für den freundlichen Empfang und die lehrreiche Erfahrung, die sie unseren Studierenden ermöglicht haben. Wir schätzen die wachsende Partnerschaft zwischen Ausbildungsinstitutionen und nationalen Branchenakteuren sehr.
Â