






AWARENESS SESSION FOR PRIMARY SCHOOL STUDENTS FROM ISHINDE AREA
Our center had the honor of receiving primary school students from the Ishinde area, who visited us to gain awareness about the importance of acquiring vocational skills after completing primary education.
The main objective of this visit was to enlighten the students on the various opportunities available at our vocational training center. They were informed that even if they do not get the chance to continue to secondary education, they can still enroll in practical training courses that will empower them to become self-reliant and improve their livelihoods.
We warmly welcomed them, showcased the services we offer, and explained the simple steps required to join the different training programs available at our center.
We believe that such awareness sessions play a crucial role in helping young learners make informed decisions about their future. We sincerely thank the teachers and school leadership for organizing this visit, and we look forward to continued collaboration in reaching more students from various communities.
UHAMASISHAJI KWA WANAFUNZI WA SHULE ZA MSINGI KUTOKA ENEO LA LAISHINDE
Kituo chetu kimepata heshima ya kuwapokea wanafunzi wa shule za msingi kutoka Eneo la Laishinde waliotembelea kwa lengo la kupata uhamasishaji kuhusu umuhimu wa kupata ujuzi baada ya kumaliza elimu ya msingi.
Lengo kuu la ziara hii lilikuwa kuwapa wanafunzi mwanga juu ya fursa mbalimbali zinazotolewa na kituo chetu cha mafunzo ya ufundi stadi na ujuzi. Wamejulishwa kuwa hata kama hawatapata nafasi ya kuendelea na elimu ya sekondari, bado wanaweza kujiunga na mafunzo ya vitendo yatakayowasaidia kujitegemea na kujikwamua kimaisha.
Tuliwapokea kwa moyo mkunjufu, tukawaonyesha huduma mbalimbali zinazotolewa na kituo chetu, na kuwaeleza hatua rahisi za kujiunga na kozi mbalimbali zinazotolewa.
Tunaamini kuwa uhamasishaji kama huu una mchango mkubwa katika kusaidia wanafunzi kufanya maamuzi sahihi ya maisha yao ya baadaye. Tunapenda kushukuru walimu na uongozi wa shule kwa kuratibu ziara hii, na tunatarajia kuendelea kushirikiana kwa karibu ili kuwafikia wanafunzi wengi zaidi kutoka maeneo mbalimbali.
BERICHT ÜBER DIE AUFKLÄRUNGSVERANSTALTUNG FÜR GRUNDSCHÜLER AUS DEM GEBIET ISHINDE
Unser Ausbildungszentrum hatte die Ehre, Grundschüler aus dem Gebiet Ishinde zu empfangen, die uns besuchten, um sich über die Bedeutung des Erwerbs praktischer und beruflicher Fähigkeiten nach dem Abschluss der Grundschule zu informieren.
Das Hauptziel dieses Besuchs war es, den Schülerinnen und Schülern die verschiedenen Möglichkeiten aufzuzeigen, die unser Berufsbildungszentrum bietet. Es wurde ihnen vermittelt, dass sie auch dann, wenn sie keine Gelegenheit haben, die Sekundarschule zu besuchen, praktische Ausbildungsprogramme absolvieren können, die ihnen helfen, unabhängig zu werden und sich eine bessere Zukunft aufzubauen.
Wir haben sie herzlich willkommen geheißen, ihnen unsere Dienstleistungen vorgestellt und die einfachen Schritte erklärt, die zur Anmeldung in unseren verschiedenen Ausbildungsprogrammen erforderlich sind.
Wir sind überzeugt, dass solche Aufklärungsveranstaltungen eine wichtige Rolle dabei spielen, jungen Menschen zu helfen, fundierte Entscheidungen für ihre Zukunft zu treffen. Wir danken den Lehrern und der Schulleitung aufrichtig für die Organisation dieses Besuchs und freuen uns auf eine weiterhin gute Zusammenarbeit, um noch mehr Schülerinnen und Schüler aus verschiedenen Regionen zu erreichen.