








MMVTC PARTICIPATES IN THE NBC DODOMA MARATHON 2025
On 27th July 2025, Marion Meyenburg Vocational Training Center (MMVTC) proudly participated in the NBC Dodoma Marathon, an annual event dedicated to raising funds in support of vital causes, particularly cancer care, maternal health, and child well-being.
Our presence at this important event was driven by our commitment to community engagement, as well as the opportunity to promote our training programs and build strategic networks with key stakeholders in education, health, and development sectors.
The marathon was graced by the Deputy Prime Minister of the United Republic of Tanzania, Hon. Dr. Dotto Biteko, who served as the Guest of Honor.
We thank the organizers for the platform and look forward to continued collaboration in supporting national development goals through vocational education and social responsibility.
🇹🇿
MMVTC YASHIRIKI KATIKA MBIO ZA NBC DODOMA MARATHON 2025
Tarehe 27 Julai 2025, Kituo cha Mafunzo ya Ufundi Stadi cha Marion Meyenburg (MMVTC) kilishiriki kwa fahari katika NBC Dodoma Marathon, tukio la kila mwaka linalolenga kukusanya fedha kwa ajili ya kusaidia mapambano dhidi ya saratani, pamoja na kuimarisha afya ya mama na mtoto.
Ushiriki wetu ulilenga kuonyesha huduma zetu za mafunzo kwa jamii na kuimarisha ushirikiano na wadau mbalimbali katika sekta za elimu, afya na maendeleo.
Mgeni rasmi katika tukio hili alikuwa Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Dotto Biteko.
Tunawashukuru waandaaji wa tukio hili kwa fursa hii muhimu, na tunatarajia kuendelea kushirikiana katika kuunga mkono juhudi za maendeleo ya taifa kupitia elimu ya ufundi na uwajibikaji kwa jamii.
🇩🇪
MMVTC NIMMT AM NBC DODOMA MARATHON 2025 TEIL
Am 27. Juli 2025 nahm das Marion Meyenburg Vocational Training Center (MMVTC) mit Stolz am NBC Dodoma Marathon teil – einer jährlichen Veranstaltung zur Sammlung von Spenden zur Unterstützung wichtiger Anliegen wie Krebsbekämpfung, Müttergesundheit und Kindergesundheit.
Unsere Teilnahme hatte das Ziel, unser Ausbildungszentrum bekannt zu machen und Netzwerke mit anderen relevanten Akteuren aus den Bereichen Bildung, Gesundheit und Entwicklung zu knüpfen.
Ehrengast der Veranstaltung war der stellvertretende Premierminister der Vereinigten Republik Tansania, Hon. Dr. Dotto Biteko.
Wir danken den Veranstaltern für diese wertvolle Gelegenheit und freuen uns auf weitere Zusammenarbeit zur Unterstützung der nationalen Entwicklungsziele durch Berufsbildung und gesellschaftliches Engagement.