Youth Forum Dar es salaam

🇹🇿 Swahili 

MMVTC Yaendelea Kujitangaza Kupitia Kongamano la Vijana Jijini Dar es Salaam

Katika kuendeleza juhudi za kuelimisha jamii na kutangaza fursa za mafunzo, nilipewa heshima ya kushiriki na kutoa wasilisho katika Kongamano la Vijana lililofanyika jijini Dar es Salaam.

Kupitia jukwaa hilo, nilieleza kwa kina kuhusu shughuli za Marion Meyenburg Vocational Training Center (MMVTC), kozi tunazotoa, na mchango wetu katika kuwawezesha vijana kupata ujuzi wa ufundi stadi na ujasiriamali.

Tunaamini kuwa kushiriki kwenye matukio kama haya huchangia kwa kiasi kikubwa katika kuimarisha mahusiano na wadau mbalimbali, pamoja na kufikia vijana wengi zaidi wenye kiu ya kujifunza na kuboresha maisha yao.

Tunaendelea kuwakaribisha vijana kutoka maeneo mbalimbali kujiunga nasi katika safari ya kujenga maisha bora kupitia elimu ya vitendo.


🇬🇧 English 

MMVTC Promotes Vocational Training at Youth Forum in Dar es Salaam

As part of our ongoing commitment to outreach and community engagement, I had the honor of participating and presenting at a Youth Forum held in Dar es Salaam.

During the event, I showcased the programs offered by Marion Meyenburg Vocational Training Center (MMVTC) and shared our vision of equipping young people with practical skills in vocational trades and entrepreneurship.

Such platforms offer a great opportunity to network with stakeholders and reach more youth who are seeking to transform their lives through skills training.

We continue to welcome students from all backgrounds to join us in building a better future through hands-on learning.


🇩🇪 German 

MMVTC präsentiert sich beim Jugendforum in Daressalam

Im Rahmen unserer Öffentlichkeitsarbeit hatte ich die Ehre, am Jugendforum in Daressalam teilzunehmen und eine Präsentation über unser Berufsbildungszentrum – das Marion Meyenburg Vocational Training Center (MMVTC) – zu halten.

Ich stellte die angebotenen Ausbildungskurse vor und betonte, wie wichtig berufliche Qualifizierung und Unternehmertum für die Zukunft der Jugend sind.

Solche Veranstaltungen bieten eine hervorragende Gelegenheit, mit anderen Akteuren in Kontakt zu treten und mehr junge Menschen zu erreichen, die nach Möglichkeiten zur Verbesserung ihrer Lebenssituation suchen.

Wir laden weiterhin junge Menschen aus allen Regionen ein, sich uns anzuschließen und gemeinsam eine bessere Zukunft durch praxisorientiertes Lernen zu gestalten.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Translate »